
Tunzaa+
다운로드수 26
-
0 (0명)
분류 | 쇼핑 |
---|---|
버전 | 0.1.4 |
연령 | 3세 이상 |
업데이트 | 2022. 6. 28. |
금주 다운수 | 0 |
누적 다운수 | 26 |
개발사 | Tunzaa Fintech Inc. |
다운로드 | |
!소프트웨어 사용범위 위반 시
법적 책임을 질 수 있습니다. |
상세정보
Jiunge na Tunzaa uweze kufikia mtandao wa wanunuzi ambao hutumia pesa kila siku kununua bidhaa na huduma moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara kama wewe
Ongeza mauzo kwa kuwapa wateja wako uwezo wa kununua kile wanachokihitaji kwa kulipia kwa awamu hadi watimize malipo yao
ONGEZA THAMANI
Rahisi amp salama Malipo yanatumwa kwako mfanyabiashara na hakuna malipo ya ziada ya kila mwezi
KUZA BIASHARA
Ongeza mauzo yako kwa kufikia mtandao wa wanunuzi ambao wanafurahia kufanya manunuzi kutimiza malengo na mipango yao
ORODHESHA BIASHARA YAKO BURE
Orodhesha bidhaa na huduma zako zote bure utalipa ada tu ikiwa utauza kupitia Tunzaa
UDHIBITI
Kupitia Tunzaa unaweza kufatilia oda za wateja wako bei na kuweka bidhaa mpya kila upendavyo
USALAMA WA MALIPO
Tunzaa inakuhakikishia usalama wa malipo kutoka kwa wateja wako
USAIDIZI NA USHAURI
Tumejitolea kusaidia washirika wote wa biashara kufanikiwa kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi na msaada wa jinsi ya kufaidika na Tunzaa
리뷰
- 소프트쉐어 신규 소프트웨어 추가 안내 2025.01.17
- 소프트쉐어 서비스 이용 가이드 업데이트 안내 2025.01.17
- 소프트쉐어 웹사이트 리뉴얼 안내 2025.01.17